G Gosberth Member Joined Feb 15, 2013 Posts 20 Reaction score 6 Jul 26, 2018 #1 Naomba msaada wa kisheria kuhusu kupigwa tochi sehemu zenye zebra na hazina vibao vya udhibiti mwendo na kuna sehemu zingine hata kibao cha pedestrian crossing ahead hakuna , msaada tafadhali ,nimewasilisha
Naomba msaada wa kisheria kuhusu kupigwa tochi sehemu zenye zebra na hazina vibao vya udhibiti mwendo na kuna sehemu zingine hata kibao cha pedestrian crossing ahead hakuna , msaada tafadhali ,nimewasilisha
ALPHRED MAHUNJA JF-Expert Member Joined Aug 30, 2013 Posts 308 Reaction score 160 Jul 31, 2018 #2 je umepelekwa mahakamani au umelipa fine?