Naomba msaada wa kisheria.

CHINOVA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
212
Reaction score
89
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 Nimeoa na Nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 4
Ninafanya kazi katika taasisi moja ya serikali nikiwa mtumishi was kada ya kawaida
Mwaka 2013 nilijinyima nikanunua kiwanja na kuanza kujenga mwaka mwaka 2015 nilioa make wangu akanituta nyumba hiyo nimeisha ipaua na kulikua kuna watu wanaishi mwaka 2017 nilianza mahusiano ya kimapenzi kwa siri na mwalimu mmoja
 
Ghafla mke wake amekuja ndo maana kashindwa kumalizia thread hii maana kaulizwa unachart jamaa kaamua kuituma nusu hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…