Naomba msaada wa kisheria

Kitia

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2006
Posts
418
Reaction score
77
Natanguliza salamu.

Nina jamaa yangu ambaye kwa bahati mbaya ana matatizo ya akili (Alzheimer) ambayo yanamfanya asiweze kumudu shughuli zake za kila siku. Amekwenda kwa daktari na ikathibitishwa kwa vipimo kuwa anao ugonjwa huo. Daktari ameandika testimonial kuwa jamaa yangu hamudu tena shughuli zote muhimu km benki nk na anahitaji uongozi wa jamaa wa karibu. Ni njia zipi ambazo tunapaswa kufuata kisheria ili hati ya kuruhusu kuwa na msaidizi/msimamizi kutolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…