Mi nilipewa kiwanja na ofisi ya ardhi wilaya lakini baadae nikaandikiwa barua kuwa si mmiliki wa kiwanja hicho. Nilipofuatilia zaidi nikagundua kuwa notice tatu alizopewa mmiliki wa kwanza zimenyofolewa kwenye faili ili kuhalalisha umiliki wa kiwanja kwa yule aliyepewa mwanzo na kukaa nacho kwa miaka nane bila kukiendeleza. Jamani naomba ushauri wenu ili nijue cha kufanya