Bensoy
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 576
- 622
Kama shauri la kesi A limetolewa katika mahama ya mwanzo iliyoko wilaya A, Je kama kuna shida ya utekelezaji wa kesi imetokea na wahusika wamehama hio wilaya waliyohukumiwa.
Je, kuna uwezekano wa kwenda mahakama nyingine ya mwanzo iliyoko wilaya nyingine kwa ishu zinazo husiana na utekelezwaji wa hukumu ya mwanzo iliyotolewa wilaya nyingine?
Naomba ufafanuzi tafadhali
Je, kuna uwezekano wa kwenda mahakama nyingine ya mwanzo iliyoko wilaya nyingine kwa ishu zinazo husiana na utekelezwaji wa hukumu ya mwanzo iliyotolewa wilaya nyingine?
Naomba ufafanuzi tafadhali