Me sidhani kama huo utakuwa ushahidi utakaoweza kukubalika mahakamani kwasababu sheria yetu ya ushahidi sura namba 6 inafafanua kuwa electronic evidence (Isipokuwa nyaraka za benk zilizotoka katika chapisho la kompyuta tu) haipokelewi kama ushahidi mahakamani kwasababu itakutaka udhihirishe bila kuacha doubt yoyote kiti ambacho kimekuwa kigumu sana. Kuna kesi kibao ushahidi wa namna hii imetupiliwa mbali!!
Sasa kwakuwa hiyo transaction ni ya kibenki zaidi nashauri ukatoe chapisho litakaloonesha kuwa ulitima pesa kwa nani that is it! Kwasababu hiyo utaweza kuiwasilisha km documentafy evidence nakuonya usitegemee sms za simu hizo zitakuzingua!! Komaa!!