Habari za asubuhi wanajamii naomba ushauri wenu hasa wa kisheria,mie nafundisha katika chuo kimoja hapa nchini tz,katika tawi nililopo kiongozi wetu ameanzisha utaratibu wa kukata mshahara kwa mwalimu anayechelewa hata kama ni dakika 1.katika mkataba hakuna kipengele chochote kinachoainisha jambo la kukatwa mshahara kwa mwajiriwa yoyote akichelewa darasani kuanzia dakika moja na kuendelea.na pia makato haya hayajatolewa maelezo yoyote:mfano; ni asilimia ngapi itakatwa nk,Tafadhali wanajamii naombeni msaada wenu wa kisheria katika hilo.