Naomba msaada wa kisheria

remyshas

Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
27
Reaction score
0
Habari za asubuhi wanajamii naomba ushauri wenu hasa wa kisheria,mie nafundisha katika chuo kimoja hapa nchini tz,katika tawi nililopo kiongozi wetu ameanzisha utaratibu wa kukata mshahara kwa mwalimu anayechelewa hata kama ni dakika 1.katika mkataba hakuna kipengele chochote kinachoainisha jambo la kukatwa mshahara kwa mwajiriwa yoyote akichelewa darasani kuanzia dakika moja na kuendelea.na pia makato haya hayajatolewa maelezo yoyote:mfano; ni asilimia ngapi itakatwa nk,Tafadhali wanajamii naombeni msaada wenu wa kisheria katika hilo.
 
Isjie ikawa huyo kiongozi anatafuta pesa ya kampeni. hajatangaza nia?

Ila na nyie muache kuchelewa kwenye vipindi mnawalositisha wanafunzi

Nenda Legal and Human Rights Centre watakupa ushauri
 
Kuna sheria ya ajira na mahusiano kazini, waweza kutizama inasemaje kuhusu hilo.
View attachment sheria ya kazi.pdf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…