Naomba msaada wa kisukari jamani.

Naomba msaada wa kisukari jamani.

Mtandaoni

Senior Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
132
Reaction score
64
Tupoe kwa mihangaiko ya hapa na pale toka tumeamushwa asbh mpk saiv tunakaribia kulala.

Jamani wapendwa naomba msaada kwa hili kwani napata shida sana, mm huwa nikila karanga za aina yoyote za kukaanga, mbichi, hata kikombe chai chai tu yaan lazima npate homa yaan naumwa sana tu, Naomba kwa anayefahamu nitumie njia ngan ili nami nizifaid karanga jamani.
 
Tupoe kwa mihangaiko ya hapa na pale toka tumeamushwa asbh mpk saiv tunakaribia kulala.



Jamani wapendwa naomba msaada kwa hili kwani napata shida sana, mm huwa nikila karanga za aina yoyote za kukaanga, mbichi, hata kikombe chai chai tu yaan lazima npate homa yaan naumwa sana tu, Naomba kwa anayefahamu nitumie njia ngan ili nami nizifaid karanga jaman

Mbona kichwa cha mada na maelezo havina uhusiano?!

Ulishafanya vipimo vikaonyesha kuwa una kisukari?
 
Back
Top Bottom