Tupoe kwa mihangaiko ya hapa na pale toka tumeamushwa asbh mpk saiv tunakaribia kulala.
Jamani wapendwa naomba msaada kwa hili kwani napata shida sana, mm huwa nikila karanga za aina yoyote za kukaanga, mbichi, hata kikombe chai chai tu yaan lazima npate homa yaan naumwa sana tu, Naomba kwa anayefahamu nitumie njia ngan ili nami nizifaid karanga jaman