Naomba msaada wa kitaalam

Naomba msaada wa kitaalam

Maziku AGRIC

New Member
Joined
Sep 22, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Kuna tofauti gani ya EC na SC kwenye chupa za viwatilifu na matumizi yake yakoje katika kupulizia mmea? Naomba msaada
 
Ec inakuwa dissolve in solvent wakati SC inakuwa dispersed with solid particles in water . Ukemia mvulugiko
 
Alafu ec Iko na tabia ya kuwa kama maziwa inapoliact na maji wakati mfano duduall wakati SC inabaki colourless inapokutana na maji mfano herbicide
 
Back
Top Bottom