M Maziku AGRIC New Member Joined Sep 22, 2024 Posts 1 Reaction score 1 Sep 29, 2024 #1 Kuna tofauti gani ya EC na SC kwenye chupa za viwatilifu na matumizi yake yakoje katika kupulizia mmea? Naomba msaada
Kuna tofauti gani ya EC na SC kwenye chupa za viwatilifu na matumizi yake yakoje katika kupulizia mmea? Naomba msaada
M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,181 Reaction score 1,594 Oct 2, 2024 #2 Ec inakuwa dissolve in solvent wakati SC inakuwa dispersed with solid particles in water . Ukemia mvulugiko
Ec inakuwa dissolve in solvent wakati SC inakuwa dispersed with solid particles in water . Ukemia mvulugiko
M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,181 Reaction score 1,594 Oct 2, 2024 #3 Alafu ec Iko na tabia ya kuwa kama maziwa inapoliact na maji wakati mfano duduall wakati SC inabaki colourless inapokutana na maji mfano herbicide
Alafu ec Iko na tabia ya kuwa kama maziwa inapoliact na maji wakati mfano duduall wakati SC inabaki colourless inapokutana na maji mfano herbicide