Naomba msaada wa kitabibu na kunijuza mtaalamu anaeshugulika na magonjwa ya akili 'Best Psychiatrist'

Naomba msaada wa kitabibu na kunijuza mtaalamu anaeshugulika na magonjwa ya akili 'Best Psychiatrist'

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
Habari Zenu wandugu! Nina kijana wangu ni rafiki yangu sana! Amekumbwa na dalili zifuatazo.
1. Anaumwa na kichwa sana.

2. Anapoteza kumbukumbu.

3. Highly attract negative thoughts.

4. Anasikia ngumu kufanya maamuzi madogo tu.

5. Anashindwa kuongea kwa kunyoosha sentensi.

6. Anakosa usingizi.


Naomba msaada wa kitabibu na kunijuza mtaalamu anaeshugulika na magonjwa ya akili.
 
Mpeleke muhimbili. Kitengo cha magonjwa ya akili. Atasaidiwa pale kuhusiana na tatizo hilo
 
Nitafute kwa namba 0767831345 nitampatia bidhaa za Stem cell therapy

Double Stem cell
Crystal cell

Tatizo kwisha kabisa , Hilo ni tatizo la mfumo wa fahamu inasababishwa na damage kwenye mfumo wa seli za mwili

Asanteh

Sent from my Redmi Note 7 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom