naomba msaada wa kitabibu zaidi!

naomba msaada wa kitabibu zaidi!

gudgirl

Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
49
Reaction score
0
Habari wana JF!

Naomba mnisaidie kwa hili mwenzenu napenda kutafuna sana mchele mbichi uwe umelowekwa kwenye maji au hata mkavu.je kuna madhara yoyote??

natamani sana kuacha maana naona dah nimezidisha sasa!je nitawezaje kuacha???

au labda nina upungufu wa kitu fulani mwilini manake nikiuona tu lazima nitauchukua.plse help
 
Back
Top Bottom