Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
bure au sijaelewa mkuu
Andaa elfu 80 uende Bookshop iliyo karibu nawe utapata. Soft copy hakuna.Ndio bure
HahaaaaAndaa elfu 80 uende Bookshop iliyo karibu nawe utapata. Soft copy hakuna.
Softcopy ipo Amazon.Maana yake kama kuna mtu amenunua amemaliza kukisoma anaweza kuwasiliana na jamaa akamwazima.
Softcopy huwezi kupata bosi, ungewaeleza watu unapatikana mji gani, naamini unaweza kusaidiwa.
Softcopy ipo Amazon.
Acha kuwa na ufinyu wa akili unashindwa kuelewa waelekezo unayopewa hapa utaelewa kweli? Yaliyoandikwa kwenye hicho kitabu? Kitabu ni biashara ya watu wamewekeza hela zao kwenye hicho kitabu Sasa wew ukiomba Leo tunajua una lengo gani pengine unaweza kuchukua soft copy ukaenda kuprint then ukagipa hela isio haki yako! Ile ni legacy ya Dr. Mengi inalindwa na pia kila mtu akiomba biashara itafanyika kweli!? Pia umepewa maelekezo mazuri tu kwamba soft copy hamna kwamsaada mzuri na rahisi sema upo wapi ili alienunua akupe usome then urudishe,, Sasa tunategemea utakuja hapa na Maelezo hayo uko wapi utoe na mawasiliano pengine, unakuja unasema vijana wana roho mbaya ile hali roho mbaya imeanza kuonekana kwako wewe unajua kabisa icho kitabu kinauzwa then unakuja hapa kuomba afu anaeuza apataje maisha!?Ninachoona hapa watanzania hasa vijana ni vigumu kutoa msaada kwa vijana wenzao
Naomba nikuite mpuuzi coz that is what you are.Ninachoona hapa watanzania hasa vijana ni vigumu kutoa msaada kwa vijana wenzao
HahahaaMm ninacho ila ni lazima uje kosomea hapa hapa home hadi ukimalize kitabu na isizidi Siku 2..
Na ukimaliza nakupa mtihani wa kukupima uelewa wa ulichosoma na ukipata chini ya 50% unatakiwa ulipe 80k na nitakupatia kitabu uondoke nacho ukasome zaidi na mumeo/mkeo.
Asante.
Ingia amazon ununue.no free lunch!Habari wana jf.
Naomba msaada wa kitabu cha huyu mzee wetu mjasiriamali aliyefanikiwa Mzee Mengi.Ingawa hatupo nae ila mawazo na fikra zake zitaendelea kudumu vizazi na vizazi.
Kama nitapata soft copy itakuwa bora zaidi.
Kitabu kinaitwa.I CAN I MUST I WILL
Hahaha! bro changamoto ni part of life kama sio mgeni humu jf hizi ni comment za kawaida sana!Ninachoona hapa watanzania hasa vijana ni vigumu kutoa msaada kwa vijana wenzao