Habari wana jf.
Naomba msaada wa kitabu cha huyu mzee wetu mjasiriamali aliyefanikiwa Mzee Mengi.Ingawa hatupo nae ila mawazo na fikra zake zitaendelea kudumu vizazi na vizazi.
Kama nitapata soft copy itakuwa bora zaidi.
Kitabu kinaitwa.I CAN I MUST I WILL