Naomba msaada wa kiutalamu wa namna ya kuapta malipo yangu

kwaji

Senior Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
186
Reaction score
32
Unapopeleka barua yako ya kuomba kulipwa malipo kwenye kampuni uliongia nayo mkataba kulipana kila mwisho wa mwaka lakini wewe ukawa na shida kabla ya ule muda mliokubaliana kampuni itachukua muda gani kukujibu na itakujibu kwa barua au kwa kupiga simu

Kila nikifika naambiwa ukae wiki 2 ndiyo uje kuchukua majibu ni sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…