Naomba msaada wa kozi za afya ngazi ya degree

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
1,941
Reaction score
2,044
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Kibaha secondary mchepuo wa PCB .
Naomba kujuzwa endapo nkipata dvs3 ni kozi gani za afya naweza kuomba ili nichaguliwe kwenye chuo hicho nisikose chuo kwa sababu ya competition kama ilivyotokea mwaka jana.
Naombeni msaada hasa kwa frst year kozi za udaktari naombeni mnipe majibu.
karibuni.
 
pia mnitajie na vyuo vya hzo kozi.
msaada jamani...??
 
Pata division one Utaenda kusoma MD Muhimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…