magwamaka
Senior Member
- May 20, 2023
- 120
- 266
Wapendwa habari ya kazi?
Poleni na majukumu ,nina mdogo.wangu wa mwisho wa kiume alimaliza Udsm ,geography and Environmental degree yake akamaliza 2014 ,changamoto.ikawa ajira hakuna ametafuta sana
Mwaka 2017 ikabidi tumchangie mtaji kama 5M ,akafanya biashara ya mpunga ikaenda sivyo mpaka mtaji ukaisha ,tukaona huyu biashara haweIi ikabidi mwaka 2021 akasome clinical kwa ngazi ya diploma KCMC ,kamaliza mwaka huu,
Msaada wa kimawazo.ni kijana ambae yaani hata hizi ajira lazima umpigie kwamba ajira fulani zimetoka omba sio yeye kama yeye kutafuta naona changamoto sana .Mwezi wa 8 zilitoka ajira za env.akaomba hawajiitwa kwenye interview mpka leo kaoa na mke wake kajishikiza internship wana mtoto mmoja yaani namuwazia.sana yaani ile kufight mwenyewe kama mwenyewe hawezi naomba mwenye connection msaada.please