Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsanteni sana wana JF kwa msaada wenupanda magari yanayotoka buguruni kwenda kawe then shuka kwa mwalimu nyerere(mungu ailaze roho yake mahali pema peponi) rudi nyuma atua kadhaa utaona kibao kinaonyesha Ifakara Health Institute na kadhalika utafuata uelekeo huo wa ifakara, b4 ifakara utaona hiyo