king Patrick20 Member Joined Sep 13, 2018 Posts 8 Reaction score 1 Sep 18, 2018 #1 Natanguliza shukran naomb mnifahamushe taratibu na ghalama za kupata barcode kwa ajili ya bidhaa zangu.
Natanguliza shukran naomb mnifahamushe taratibu na ghalama za kupata barcode kwa ajili ya bidhaa zangu.
buffalo44 JF-Expert Member Joined May 8, 2016 Posts 4,678 Reaction score 11,357 Sep 18, 2018 #2 Ngoja nisubirie elimu.
Nebart Chalaji Senior Member Joined Feb 15, 2013 Posts 143 Reaction score 192 Sep 18, 2018 #3 king Patrick20 said: Natanguliza shukran naomb mnifahamushe taratibu na ghalama za kupata barcode kwa ajili ya bidhaa zangu. Click to expand... Waone wanaohusika na barcode wale jamaa wa GS1 wapo msasani,kimweli road utapata kila kitu mkuu..au tembelea website yao: www.gs1tz.org/
king Patrick20 said: Natanguliza shukran naomb mnifahamushe taratibu na ghalama za kupata barcode kwa ajili ya bidhaa zangu. Click to expand... Waone wanaohusika na barcode wale jamaa wa GS1 wapo msasani,kimweli road utapata kila kitu mkuu..au tembelea website yao: www.gs1tz.org/