Ukihitaji kuomba kutayarishiwa tender doc ili uingie GPSA kwa ajili ya kufanya kazi na serikali na taasisi zake, tafadhari wasiliana nasi: 0692138944
Ila kwa yeyote anayehitaji kuingia GPSA atajisajili pale wao GPSA watakapo tangaza fursa hizo (invitations), na kwa mwaka huu si muda mrefu watatangaza..zikitoka tu, nenda kanunue vitabu vya zabuni kwa kadri ya shughuli zako kama ni huduma au kusupply bidhaa fulani....jambo la msingi lazima ujue vigezo vyao, andaa tena kiushindani, la utakosa. Pia omba mikoa mingi sio mkoa mmoja tu, na huo ndo ujasiliamali...unaweza pata mikoa kadhaa ili kuwa na chance ya kupata sehemu nyingi zaidi....pia ombea gpsa shughuli zaidi ya moja ili kutojibana.
kwa ushauri zaidi na kusaidiwa kufanya hayo kwa niaba; wasiliana nami 0692138944