NAOMBA MSAADA WA KUJUA NIMEPATA MKOPO %NGAPI. Nisaidieni

iriko

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
20
Reaction score
0
ndugu zangu wanaJF, mm nimepata koz ye BSc in Petroleum Eng. At UDOM na nimepewa mkopo Tsh 3882500/=, na ADA YA KOZI NI 1200000 please ni sawa na %ngapi?
 
Duu million 38? Aisee unatisha,mtaji huo bro jipange kuanzisha business center,
 
naomba nisaidie nina 2297500 ma cour ni lakinane so nina percntage ngapi;;;frm udom
 
naomba nisaidie nina 2297500 ma cour ni lakinane so nina percntage ngapi;;;frm udom

Unapotaka kujua asilimia sharti uoneshe degree programme unayochukua, ada na special faculty requirements if there are.
 
sorry guys ni vyema kwa anayefaham atujuze,kuna thread zingine wanasema hela ya field ni laki sita wengine sita na ishirini wengine tano ma sitini,hay hela ya books and material wengine wanasema laki mbili wengine laki mbili na sabini na tano,thats why tunashindwa kujua % zetu,kwa anaye fahamu atujuze tujipigie hesabu wenyewe itapunguza hizi thread zinazo jirudiaridia bila maana
 

jaman cost za vyuo zinatofautiana,ushauri tafuta total ya vitu kama accomodation,stationary,field,meals,fucult requrement nk then toa kwenye loan yako pesa itakayobaki ndo itafutie parcent kwenye fee yako,NOTE pgm nyngne hazina field so usijumulishe,PIA unaweza pewa 4million mm 2million lkn nikawa na parcent kubwa kulingana na 1st institution private or public,then pgm requrement,hvyo kila mmoja atafute % kulingana na makato ya chuo na pgm unayochukua.
 
ndugu zangu wanaJF, mm nimepata koz ye BSc in Petroleum Eng. At UDOM na nimepewa mkopo Tsh 3882500/=, na ADA YA KOZI NI 1200000 please ni sawa na %ngapi?

ww dogo acha ukilaza engineer gani hujui hesabu simple kama hyo

anyway,.....ni hivi
chukua pesa ya accomodation ambayo ni 2180000 na pesa ya field ambayo ni 620000 then jumlisha kisha toa pesa uliyopewa , pesa utakayopata iweke chini ya ada mara 100% utapata asilimia yako.....ambayo ni 90.21%

NB:nimewka hela ya field coz engineer 1st year wanaenda field
 

kaka samahan hivi b.com ina field kwa mwaka wa kwanza
 

thanks 4gud details, mm najua hesabu vizur sio kilaza tatizo sikuwa na uhakika na hizo data za accomodation+fields.
 
Achen kudanganyana!!Petroleum Engineering 1st year ha2na field!!!thn toa meals ambyo n 1837500 bla accomodation coz acc. 2nalpa direct..pili toa stationary ambyo n 200000...thn itakayo baki ndo ada yako na kama imezd toa 1.5m utapata kias ambacho n kwa ajil ya special facult!!!nmepata rport toka kwa bro wangu ana¨¨fanyia loan bord
 

helo Mpendawali, it sounds as if na ww unaendasoma Petroleum Eng. Kama itakuwa 2po wote plz naomba 2wasiliane. Halafu mm nilipocheki yale majina ya all s2dents 2liochaguliwa wenye hela nyingi ni 3,882,500 mm nikiwa mmoja wapo. It means ther is no one given 100%loan. Then hii koz yangu, cc ndiyo wa kwanza au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…