Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Mzee Mzee uchumiFunga Bf Goodrich tyre moja inauzwa 700K
mimi nilifunga linglong na sijaona tatizo mpaka leo,karibia mwaka sasa..Naomba Msaada wa kujua Tairi Imara na Bora na zinadumu ili kufunga kwenye Gari HARRIER 240G ?
Matairi niyatakayo ni Size 225/65/R17 na Ziwe za KASHATA KUBWA
Msaada Tafadhali.
Jamaa akirud nistue chezeya Wanyonge wewe!Funga Bf Goodrich tyre moja inauzwa 700K
Chief kashata kubwa Ni Kwa gari inayotembea rough road 90%Funga hii inauzwa 220KView attachment 2147193View attachment 2147199
Hamna tairi nzuri kama BF Goodrich.Mzee Mzee uchumi