Naomba msaada wa kujulishwa kwa anayejua bei ya maji kwa unit moja

Naomba msaada wa kujulishwa kwa anayejua bei ya maji kwa unit moja

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,408
Reaction score
1,713
Wadu, naomba anayefahamu anijulishe bei kwa unit moja ya maji ni Tsh. ngapi. Maana ninahisi ninafanyiwa mchezo mchafu na mamlaka ya maji safi na maji taka.
 
Kwa dar es salaam unit moja ya maji ya Dawasco (lita 1000 ) nikuanzia 1200 hadi 1500 aitopungua wala kuzid ilo range mkuu....
 
Kwa singida unit moja ya maji,inauzwa kulingana na matumiz yako na eneo ambalo hayo maji yanatumika,kwa mfano kama uliapply kuvuta maji for domestic use only,na ukatumia kwa mwezi unit less than 10,bac hapo watakulipisha 640 kila unit,kama utatumia more than 10 units bac utalipa 750 kila unit,kama ni for business use,mf: guest house,viwanda vidogo vidogo,au taasisi mbalimbali,misikiti pia unit ni sh 810,nawasilisha mkuu
 
na utaratibu wa ulipaji maji yani mfano bili ya mwezi wa 11 inaweza letwa lini
 
Wadu, naomba anayefahamu anijulishe bei kwa unit moja ya maji ni Tsh. ngapi. Maana ninahisi ninafanyiwa mchezo mchafu na mamlaka ya maji safi na maji taka.
Usipaniki. Tafuta namba zao au watembelee ofcn. Watakupa mchanganuo.
 
Back
Top Bottom