Naomba msaada wa kuomba kazi Ajira Portal

Sam55

New Member
Joined
Aug 6, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Kuna mtu amemaliza degree mwaka huu ila bado hajapata cheti cha degree, ila anataka kuomba ajira kwa cheti chake cha diploma inagoma afanyeje?
 
Haiwezekani subiri mpaka utapopata cheti zikatangazwa
 
Back
Top Bottom