S Sam55 New Member Joined Aug 6, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Aug 6, 2024 #1 Kuna mtu amemaliza degree mwaka huu ila bado hajapata cheti cha degree, ila anataka kuomba ajira kwa cheti chake cha diploma inagoma afanyeje?
Kuna mtu amemaliza degree mwaka huu ila bado hajapata cheti cha degree, ila anataka kuomba ajira kwa cheti chake cha diploma inagoma afanyeje?
Mtu Mbadi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2024 Posts 403 Reaction score 457 Aug 11, 2024 #2 Sam55 said: Kuna mtu amemaliza degree mwaka huu ila bado hajapata cheti cha degree, ila anataka kuomba ajira kwa cheti chake cha diploma inagoma afanyeje? Click to expand... Haiwezekani subiri mpaka utapopata cheti zikatangazwa
Sam55 said: Kuna mtu amemaliza degree mwaka huu ila bado hajapata cheti cha degree, ila anataka kuomba ajira kwa cheti chake cha diploma inagoma afanyeje? Click to expand... Haiwezekani subiri mpaka utapopata cheti zikatangazwa
Artificial Horizon JF-Expert Member Joined Jul 31, 2019 Posts 432 Reaction score 977 Aug 12, 2024 #3 Dogo hata mtaani hujakaa unataka kazi subiri utaomba kazi mwakani