Naomba msaada wa kupata huduma ya 'who called' kutoka Airtel

Naomba msaada wa kupata huduma ya 'who called' kutoka Airtel

tuma neno SUB kwenda namba 15524,baada ya hapo utaambiwa uchague lugha either kiswahili au kingereza utachagua kwa kutuma L1 au L2 kwa

kisha utabonyeza **62*+255784101125# ok (hii ni shortcut ya call divert meaning that utakapopigiwa simu wakati namba yako ipo off namba hiyo itapokea simu kisha kukutumia taharifa utakapoiwasha)-I'm CCR
 
Back
Top Bottom