Naomba Msaada wa kupata Logic VST

Naomba Msaada wa kupata Logic VST

American Ninja

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
226
Reaction score
307
Habari wakuu nimekesha kutwa natafuta MAC VST za logic Bila mafanikio naombeni msaada kwa mtaalamu yoyote aliyena Link Ambazo nitaweza Kupata VST hizo kwa Free kama Wave bundle, Nexus, Contact, hypersonic, na Massive.

Nitashukuru sana
 
Wachache wanajua links unaweza kubahatika kupata
 
Back
Top Bottom