Habari za Asubuhi ndugu zangu,
Najaribu kulog in kwenye Gmail yangu ya zamani lakini sikubuki password na namba ya simu niliyo tumia zamani haipo Tena kwa hiyo nikiomba rest PIN NUMBER inashindikana
Nifanyeje?
Naomba msaada.