Naomba msaada wa Kurudisha WhatAapp kwenye simu yangu

Balungi

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
234
Reaction score
162
Naombeni msaada wa kurudisha whatsapp app kwenye simu yangu.

Nilibadili number ya account kwa makosa na nilipojaribu kuirudisha tena ikakataa, option niliyoifanya ni ku-uninstall whatsapp ili ni re-install, lakini nilipo download inakataa ku-install.

Msaada wataalamu.
 
Ni whats app tu? Au App zingine now zinakataa??
 
Sijajaribu nyingine ila hii ya whatsapp tu, ngoja nijaribu
 
Ni whatsapp tu maana nimejaribu app nyingine imekubali
 
Hakikisha unaichukulia play store
 
Ndo naidownload huko sasa ingawa iko so slow
 
Ahsante wadau nimefanikiwa kuirudisha
Cc: Mushi92, egentle
 
Naombeni msaada wa kurudisha whatsapp app kwenye simu yangu.

Nilibadili number ya account kwa makosa na nilipojaribu kuirudisha tena ikakataa, option niliyoifanya ni ku-uninstall whatsapp ili ni re-install, lakini nilipo download inakataa ku-install.

Msaada wataalamu.
Naombeni msaada kurudisha WhatsApp kwenye simu yangu
 
Back
Top Bottom