Naomba msaada wa kutambua Madini haya

Masseto

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2020
Posts
1,615
Reaction score
3,205
Salaam wanaJF,

Naomba kuuliza kuhusu aya mawe kama ni madini, ni ya aina gani na yanathamani gani. mimi sio mzoefu wa madini wakuu.





 
kwa mtaalum wa madini

Protocal ya utambuzi moja wapo ni
texture, Shape, na eyer observation. Hivyo ni ngumu kutambua kwa uhakika kwa picha ila hiyo jiwe la blue ni Amethyst na hiyo jiwe la rangi ya dhahabu naweza nkaiita Fools gold kwa lugha nyepesi, hizo nyekundu inaweza ikawa spinel au ruby pegmatites

niko tyr kukosolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ