Naomba msaada wa kutatua tatizo hili katika imu aina ya Nokia 1

Naomba msaada wa kutatua tatizo hili katika imu aina ya Nokia 1

gm man

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,177
Reaction score
1,455
wakuu

nimenunua simu nokia 1 mkoani. Sasa nimekuja kufanya factory reset then kuweka email yangu ikanambia "this phone was reset..enter the previous email"

sasa email hiyo iliyokuwa inatumika siijui na aliyeniuzia simfaham

naomba msaada jinsi ya kufanya ili niweze kuweka email yangu na kuanza kutumia hii simu
 
Ningeeweza kukusaidia ila ni process ndefu.. Tafuta mjuzi wa simu atakusaidia
 
Back
Top Bottom