Naomba msaada wa kutatua tatizo kompyuta kugoma ku print

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
994
Habari ndugu zangu, kuna desktop niniatumia tatizo haitaki ku print nimebadili windows na os hadi linux, nimeweka kila driver ila inagoma ku print printa yoyote ile.

Printer mpaka inatambuliwa na pc ila ukisend job haitaki

Naamini mmenielewa ndugu. kwa ambaye alishawahi kukutana na changamoto kama hiyo au anayefaham cha ziada aniongezee ujuzi.
Asante
 
Unatumia Printer Ya Model Ipi?
Tuanzie Hapo Kwanza Ndo Tushushe Nondo
 
Back
Top Bottom