Cheki transmission fluid mkuu. Aidha haipo kwenye level inayotakiwa au inabidi ubadilisheWakuu poleni na majukumu nnaomba kuulizia ttzo la gari ukiwa unaendesha make hi ina auto na manual. Sasa ukiwa unaendeshea upande wa auto ile gia kujibadili gari inakua kama inastuka flani hivi.
Nimeulizia baadhu ya watu wamedai nibadili gearbox oil na ushauri mbalimbali, hivyo nnakaribisha maoni kwa yoyote mwenye idea itakayosaidia hapa.
Karibuni.
Cheki transmission fluid mkuu. Aidha haipo kwenye level inayotakiwa au inabidi ubadilishe
Mi wakat nimenunua kiusafiri changu kulikuwa na hio shida kwenye gear ya reverse. Ukii engage inalia "kaaap" sambamba na mshtuko.Wakuu poleni na majukumu nnaomba kuulizia ttzo la gari ukiwa unaendesha make hi ina auto na manual. Sasa ukiwa unaendeshea upande wa auto ile gia kujibadili gari inakua kama inastuka flani hivi.
Nimeulizia baadhu ya watu wamedai nibadili gearbox oil na ushauri mbalimbali, hivyo nnakaribisha maoni kwa yoyote mwenye idea itakayosaidia hapa.
Karibuni.