chakapoteza
New Member
- Jan 24, 2020
- 2
- 3
nilikuwa nafikira malengo tofauti tofauti kwa ufupi sina changamoto kwenye elimu ila changamoto kwamba nitafanya nini nikimaliza chuo kikuu ndipo nikawa nawaza nianzishe pengine kituo cha tuition, nifungue open school ambayo itajumuisha QT, Resiters na tuition center, lakini sijajua hatua zake na eneo liwe vipi na nitapataje msaada wa kufungua hicho kituo cha open school mana nina wazo lakini mtaji sina na hicho kitu huku kwetu hakipo hivyo nikaona ni fursa mzuri ya kusaidia ndugu zangu na kujikwamua na changamoto ya ajira. hivyo kwa anayefahamu hatua zake na kivipi naweza pata msaada anipe mawazo yake tafadhariHebu weka sawa unahitaji msaada upi, kutatua changamoto za kielimu kivupi??
Unataka kuanzisha shule au programs za kielimu kama tuition centres?
Jazia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini hukupata nafasi yakwenda chuoni, hukupelekwa darasa la kwanza na mzazi ??Washkaji zangu mlioko vyuoni, mnatuangusha sana wanangu unajua nyie mmepata nafasi ya kwenda vyuoni mnatuwakilisha na sisi tulioko kitaa ambao hatujapata nafasi kama hiyo!. Sasa mkuu umeenda chuoni na mwezi wa saba unamaliza na hata kujieleza kwenyewe tu ni shida, utaweza kutatua changamoto zetu kweli huku mtaani? Anyway kila la heri.
Sent using Jamii Forums mobile app