Naomba msaada wa kuzuia ugonjwa wa maembe kupasuka

Naomba msaada wa kuzuia ugonjwa wa maembe kupasuka

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Miembe yangu imeanza kutoa matunda.

Matunda yanapokaribia kuiva yanaugua ugonjwa wa kupasuka.

Naomba msaada wa kuzuia ugonjwa huu.

IMG_20230302_150320_967.jpg
IMG_20230302_145311_387~2.jpg
 
Back
Top Bottom