Naomba kuwasalimu wakuu!!
Nina tatizo la meno kupekechwa na hatimaye limekatika kabisa jino moja la mbele na nilivyokwenda hospitali juzi ikabidi king'olewe kipisi kilichokuwa kimebakia.Sasa tatizo pamebakia wazi na nashindwa hata kutamka baadhi ya herufu/maneno vizuri.Dr.akanishauri niende muhimbili kuna huduma ya kuweka jino bandia ambalo si la kutoa wakati ninakula au kulala.(Teeth Implantation).Tatizo langu ni kutaka kujua:-
1.Huduma hii ya Teeth implatation inatolewa kwa kutumia Bima ya Afya??(NHIF)
2. Kama Bima hautumiki katika matubabu kama hayo Je,Gharama ya jino moja inagharimu shilingi ngapi za kitabzania??
3.Je,zipo Hospitali nyingine zinazotoa Huduma hiyo kwa gharama za Bima NHIF?? Kwa mkoa wa Dar-es-salaam?
Ni hayo tuu wakuu Naombeni msaada wenu.