Naomba msaada wa makadirio ya ujenzi wa jamvi la mita 31 kwa 26

Naomba msaada wa makadirio ya ujenzi wa jamvi la mita 31 kwa 26

Elongo Junior

Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
55
Reaction score
30
Mafundi na wataalamu wote wa ujenzi mliomo humu JF,

Naombeni MSAADA juu ya MAKADIRIO ya ujenzi wa eneo lenye urefu wa mita 31na upana wa mita 26.

Upande wa Saruji, mchanga na kokoto kwa ajili ya JAMVI
 
Mafundi na wataalamu wote wa ujenzi mliomo humu JF,

Naombeni MSAADA juu ya MAKADIRIO ya ujenzi wa eneo lenye urefu wa mita 31na upana wa mita 26.

Upande wa Saruji, mchanga na kokoto kwa ajili ya JAMVI
Twende kazi:
Ujazo wa zege(vol) =31x26x0.1==80.6m3
Cement: sand: aggregate (c:s:a) ratio
C:s:a ratio =1:2:4
C=1/7x80.6===11.52m3
1c bag = 0.032m3
bags? = 11.52m3? By cross multiplication
Cement = 360bags
Sand(mchanga) = 2/7x80.6 ===23m3 almost lorry mende 2
Aggregate (kokoto) = 4/7x80.6== 46m3 lorry mende 3
Ila hii nyumba ni kubwa sana.
Karibu
 
31m x 26m hiyo sio nyumba ni hall tena kubwa kabisa, ungeanza kwanza kutafuta ushauri wa ramani bora.
 
Twende kazi:
Ujazo wa zege(vol) =31x26x0.1==80.6m3
Cement: sand: aggregate (c:s:a) ratio
C:s:a ratio =1:2:4
C=1/7x80.6===11.52m3
1c bag = 0.032m3
bags? = 11.52m3? By cross multiplication
Cement = 360bags
Sand(mchanga) = 2/7x80.6 ===23m3 almost lorry mende 2
Aggregate (kokoto) = 4/7x80.6== 46m3 lorry mende 3
Ila hii nyumba ni kubwa sana.
Karibu

Hapo mzee ulitakiwa uweke shrinkage factor hivyo materials itaongezeka baada ya factor
 
Back
Top Bottom