Elongo Junior
Member
- Apr 21, 2018
- 55
- 30
Twende kazi:Mafundi na wataalamu wote wa ujenzi mliomo humu JF,
Naombeni MSAADA juu ya MAKADIRIO ya ujenzi wa eneo lenye urefu wa mita 31na upana wa mita 26.
Upande wa Saruji, mchanga na kokoto kwa ajili ya JAMVI
Twende kazi:
Ujazo wa zege(vol) =31x26x0.1==80.6m3
Cement: sand: aggregate (c:s:a) ratio
C:s:a ratio =1:2:4
C=1/7x80.6===11.52m3
1c bag = 0.032m3
bags? = 11.52m3? By cross multiplication
Cement = 360bags
Sand(mchanga) = 2/7x80.6 ===23m3 almost lorry mende 2
Aggregate (kokoto) = 4/7x80.6== 46m3 lorry mende 3
Ila hii nyumba ni kubwa sana.
Karibu
SureHapo mzee ulitakiwa uweke shrinkage factor hivyo materials itaongezeka baada ya factor