naomba msaada wa maneno ya kifizikia,kemia, na baolojia kwa lugha ya kiswahili

naomba msaada wa maneno ya kifizikia,kemia, na baolojia kwa lugha ya kiswahili

Mtata Mbosa

Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
14
Reaction score
0
maneno yenyewe ni pamoja na

1 circular motion
2 acceleration
3 x-rays
4 molar mass
5 proton
6 chlorophyll
7 oxygen
8 carbon dioxide

msaada pia kwa maneno mengine meeeeengi ambayo wewe unayafahamu kwa kutumia baobonya ya ngamizi yako ebu nijulishe!!!
 
Back
Top Bottom