Naomba msaada wa matumizi sahihi ya misamiati miwili hii

Naomba msaada wa matumizi sahihi ya misamiati miwili hii

muhtad

Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
96
Reaction score
15
Bado napata mkanganyiko kati ya maneno mawili haya. 'Kupanga' na kupangisha' mimi naona kama kinyume kusema mmiliki wa nyumba anapanga na mhitaji anapangisha. Wana jamvi naomba msaada..
 
Back
Top Bottom