muhtad Member Joined Nov 11, 2013 Posts 96 Reaction score 15 Jun 13, 2014 #1 Bado napata mkanganyiko kati ya maneno mawili haya. 'Kupanga' na kupangisha' mimi naona kama kinyume kusema mmiliki wa nyumba anapanga na mhitaji anapangisha. Wana jamvi naomba msaada..
Bado napata mkanganyiko kati ya maneno mawili haya. 'Kupanga' na kupangisha' mimi naona kama kinyume kusema mmiliki wa nyumba anapanga na mhitaji anapangisha. Wana jamvi naomba msaada..