nijuavyo mimi had ni aspect (hali) eg past participle aspect,past perfect aspect etc.watu wengi hudhani tense na aspect ni sawa kumbe svyo.kwa ujumla kuna aina mbili tu za tense present na past tense.could na would ni modal auxiliaries ambazo hunyesha tense.auxiliaries n vitenzi visaidizi ambavyo haviwezi kusimama bila kitenzi kikuu.eg I could hear the cry.cry-V .could -AUX.I would have killed him.killed -V.would have -AUX
'I could hear the cry'. 'the cry' ni noun, siyo 'verb' katika sentensi hiyo. The 'main verb' ni 'hear';
'could' katika sentensi hiyo ni
modal of ability. ('the cry' ina maana 'kilio).
'could' inaleta maana ya aina mbalimbali - inatumiwa kama a
modal of
ability, permission, possibility.
'I
could run fast when I was younger'. 'Niliweza' - modal of past
ability (inahusu
uwezo wangu)
'I
could enter without paying.' - modal of
permission. 'Niliweza kuingia bila kulipa'. Inahusu '
ruhusa', yaani, ina maana 'Waliniruhusu kuingia bila kulipa'.
'It
could rain tomorrow.' - modal of
possibility. 'Labda itanyesha mvua kesho.' Inawezekana itanyesha mvua..' 'Ingeweza kunyesha mvua..' Inahusu kile ambacho
kinaweza kutokea'
----------------------------------------------------------------------------------------------
'I would have killed him.' This is part of a 3rd conditional structure. We use
a 'modal' (could / would / should etc.) + the 'perfect infinitive'
perfect infinitive = have + past pariciple
----------------------------------------------------------------------------------------------
'have' ni main verb kwa kawaida pia. 'I have a car.' Ninayo gari.
Kwa past simple: 'I had a car.' Nilikuwa nayo gari.
Haya yote kwa ufupi tu! Yapo mengi zaidi! Lakini komuge68 alieleza vizuri kwenye mchango wake.