Naomba msaada wa mawasiliano na chuo cha SUZA Zanzibar

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Kama kuna mtu anasoma SUZA Zanzibar Naomba msaada wako tafadhari,

Naomba unisaidie kupata namba ya mtawala yeyote wa pale anae husika pale au kama una ndugu ako anasoma pale naombeni mnisaidie mimi napatikana kwa namba hizi.

0654463082 na 0759746825 plz nahitaji msaada wako tafadhari nakuombeni sana coz website yao haina msaada wowote naombeni sanaaa tafadhari

NB: unaweza nitumia hata namba ako mm nakutafuta naombeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…