Naomba msaada wa mawasiliano ya FedEx Company

Cognitivist

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
1,057
Reaction score
2,096
Ndugu wanajamvi naomba mtu yeyote mwenye kuwa na mawasiliano (namba ya simu)ya hii kampuni ya FedEx anisaidie.
Nimejaribu kutumia namba walizoweka kwenye web yao naambiwa hazipatikani na namba moja ya mezani inaita tu bila kupokelewa. Msaada plz.
 
Nasikia hawafanyi kazi tena yani ni kama tawi limefungwa walikuwa na kesi wakashindwa so wakatakiwa kulipa wakashindwa, vitu vya ofisi vikachukuliwa, kwa habari nilizosikia ingawa sina uhakika
 
Nasikia hawafanyi kazi tena yani ni kama tawi limefungwa walikuwa na kesi wakashindwa so wakatakiwa kulipa wakashindwa, vitu vya ofisi vikachukuliwa, kwa habari nilizosikia ingawa sina uhakika

Aisee nakushkru sana kwa taarifa. Pia nimefanikiwa kupata mawasiliano yao na kwa taarifa tu ni kuwa bado wanaendelea na kazi, kampuni haijafungwa. Asante sana mkuu.
 
Aisee nakushkru sana kwa taarifa. Pia nimefanikiwa kupata mawasiliano yao na kwa taarifa tu ni kuwa bado wanaendelea na kazi, kampuni haijafungwa. Asante sana mkuu.
ooh vizuri, nilisikia NEXT COURIER ya LOAMAYANI ndo ameingia mkataba na FEDEX ili waweze endelea
 
Kwa sasa naona ARAMEX ndo wapo fasta na efficient maana simu zao zinapokelewa fasta na ukiwaita dakika 20 nyingi washakufikia popte ulipo Dar. DHL, FedEx Chali
 
Kwa sasa naona ARAMEX ndo wapo fasta na efficient maana simu zao zinapokelewa fasta na ukiwaita dakika 20 nyingi washakufikia popte ulipo Dar. DHL, FedEx Chali

Ni kweli kabisa mkuu hawa jamaa wababaishaji sana, simu hawapokei huduma mbovu Aaagh! Anywayz let them make today count.
 
ooh vizuri, nilisikia NEXT COURIER ya LOAMAYANI ndo ameingia mkataba na FEDEX ili waweze endelea

Inawezekana kabisa ila huduma zao ziko chini ya kiwango. Ubabaishaji mwingi ni kama bado hawajajipanga. Ukibahatika kuongea nao watakuomba namba yako ya simu then watakwambia watakupigia baada ya dakika tano, hiyo sahau no body will call u mpaka uwatafute wewe na hadithi itakuwa ile ile.
 
Mwenyewe contacts za Fedex anisaidie, namba yao iliopo kwenye website haipokelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…