BPM JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,760 Reaction score 576 Feb 24, 2012 #21 Mawazo huru said: alikua peke yake hakukuwa na ndugu mwingine labda walienda kwa mwenyekiti wa kijiji. Click to expand... naamini serikali za mitaa wanatakiwa wajue na ndo msaada mkubwa
Mawazo huru said: alikua peke yake hakukuwa na ndugu mwingine labda walienda kwa mwenyekiti wa kijiji. Click to expand... naamini serikali za mitaa wanatakiwa wajue na ndo msaada mkubwa
B Bandio Senior Member Joined Feb 19, 2012 Posts 101 Reaction score 12 Feb 24, 2012 #22 Kuna kanuni inaitwa none est factum, watafute wataalamu waangalie kama wanaweza kuitumia.
Iramusm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2009 Posts 512 Reaction score 318 Feb 24, 2012 #23 Kaka utapoteza muda wako buree kupambana na "system", na hutaambulia kitu. Ni PM nikupe maelezo practical zaidi.
Kaka utapoteza muda wako buree kupambana na "system", na hutaambulia kitu. Ni PM nikupe maelezo practical zaidi.