unaweza kwenda kudaka nguo za mtumba mwenge au karume then ukawauzia watu maoficn.kama ww ni mkaka unaweza kununua mashati mazuri ya mtumba then unaenda kuwabamiza mabishooo maoficn au ata viatu vya mtumba.
naweza kukupa mfano hai kwangu mm mwenye mimi nilikua na mtaji wa 70000 nikaenda kwenye kudaka mitumba mwenge na karume nikapata nguo zangu nzuri tu za hyo bei nikaja nikazifua na kupiga pasi ,nikaanza kuzipitisha maofficn nawauzia wafanyakazi,namshukuru Mungu napata vijihela vyangu nimekua co tegemezi tena.