C Conroy Senior Member Joined May 23, 2014 Posts 158 Reaction score 44 Jun 21, 2014 #1 hivi ikiwa mtu yupo Dubai na anataka kuja Dar, Visa atagongewa huko huko au anakuja kugongewa hapa Tz?
hivi ikiwa mtu yupo Dubai na anataka kuja Dar, Visa atagongewa huko huko au anakuja kugongewa hapa Tz?
mke wa mkuu JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 634 Reaction score 277 Jun 21, 2014 #2 Conroy said: hivi ikiwa mtu yupo Dubai na anataka kuja Dar, Visa atagongewa huko huko au anakuja kugongewa hapa Tz? Click to expand... Fafanua vizuri. Dubei una pasi ya emirate au ya nchi gani ila viza ya nchi nyingi unaweza kuchukulia airport dar au ubalozi wa tz nchini UAE
Conroy said: hivi ikiwa mtu yupo Dubai na anataka kuja Dar, Visa atagongewa huko huko au anakuja kugongewa hapa Tz? Click to expand... Fafanua vizuri. Dubei una pasi ya emirate au ya nchi gani ila viza ya nchi nyingi unaweza kuchukulia airport dar au ubalozi wa tz nchini UAE
gublod JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 367 Reaction score 166 Jun 21, 2014 #3 Swali lako bado halieleweki. Huyo mtu ni raia wa wapi, na anataka visa ya kuishi nchi gani