Pole sana ila unatuchanganya, huo siyo uchumba bali udoezi tu. Yawezekana mwenzio alikuwa an pre-test fifaa mbalimbali kabla hajaamua yupi akajitambulishe kwao. Eti! una mpango wa kuoa wakati wa kiangazi, kwani hiyo harusi mnafanyia uwanjani kuogopa kunyeshewa, au mashambani mazao yakishavunwa? Hayo ndiyo madhara yake mwenzio kawahi yawezekana alijua kuna mdoezi mwenzie.
Usimuache huyo dada, mbona wengi tu wanaoa wanawake used!!! Hata wewe ni used ila hujafumaniwa tu, hahahahahahahahahaaaa